Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

KAULI YA DR.MAGUFULI YA KUSEMA HAJUI SIASA YAMTESA WANANCHI WAMSHANGAA, ANGALIA TUKIO LAKE HILI HUKO TANGA

Mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Jonh Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga leo.
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Jonh Pombe Magufuli, leo amewahutubia wananchi wa jimbo la Bumbuli, wilayani Lushoto, mkoani Tanga wakati akinadi sera zake. Huu ni mwendelezo wa kampeni zake za kusaka kura kwa wananchi ili awe urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, katika uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba 25.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top