Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Confirmed:Sikukuu ya Eid Jumatano July 06..

Taarifa ambayo imetolewa na Mufti Mkuu wa Tanzania Zubeir Bin Ally muda mfupi uliopita ni uthibitisho wa  sikukuu ya Eid ul Fitr ambapo Waislam wote walikua wakisubiri kuandama kwa mwezi,Kwenye taarifa yake Muft Zubeir amesema Mwezi huo umeonekana sehemu mbalimbali za nchi yetu ya Tanzania.
Amewaomba pia waislam kujitokeza kwenye misikiti mbalimbali kwa ajili ya ibada ya Eid ul Fitr.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top