Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI YA KUSIKITISHA HIVI PUNDE AJALI MBAYA YATOKEA MKOANI MOROGORO YAUWA WATU KUMI NA MOJA (11) PAPO HAPO SHUHUDIA TUKIO HILI NA PICHA HIZI ZA AJALI INATISHA AISEE...

Habari iliyoripotiwa hivi punde na kituo cha ITV ni kuhusu ajali ambayo imetokea eneo la Veta Dakawa mkoani Morogoro ikihusisha magari matatu ambayo ni lori la mafuta, kontena lililobeba mchele pamoja na basi.

Taarifa hiyo inasema kuwa watu 11 wamefariki dunia na wengine ambao idadi yao bado haijajulikana wamejeruhiwa.

Tunaendelea kufuatilia taarifa zaidi kuhusu ajali hiyo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top