Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

PICHA : Jose Mourinho alivyotambulishwa kwa mara ya kwanza Old Trafford

Baada ya Man City kumtambulisha Pep Gurdiola Etihad, leo July 5 2016 uongozi wa klabu ya Man United ya England walimtambulisha rasmi kocha wao Jose Mourinho Old TraffordMourinho ametambulishwa na kuongea vitu vingi katika press conference, ikiwemo kusikitishwa kwake kwa Man United kukosa mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.
35F79E5000000578-3674838-Jose_Mourinho_is_officially_unveiled_as-a-26_1467713662325
Jose Mourinho ametambulishwa Man United na kufanya mkutano na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza, katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habariMourinho kaongea vitu vingi ikiwemo kutoa kauli zake ambazo zimetafsirika kama kejeli kwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwa kukosa Ubingwa kwa miaka mingi.
35F7B7B100000578-3674838-image-m-33_1467715946398
“Hata hivyo siwezi kuficha kusikitishwa kwangu na Man United kukosekana katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, naimani ni kwa msimu mmoja tu ndio tutakuwa hatushiriki michuano hiyo ila hadi July 2017 tutalazimika kuhakikisha tunashiriki michuano hiyo”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top