Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Vanessa Mdee Aeleza Sababu Inayomfanya Kuendelea Kukwepa Swali la Kama yupo Kwenye Uhusiano


Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend.

Na sasa ameimbia Bongo5 sababu ya kufanya hivyo licha ya kujulikana wazi kuwa ana uhusiano na Jux.
“Always nikiwa kwenye interview napenda kuavoid maswali ambayo yanahusiana na Juma (Jux),” anasema.

“For every simple reason, interview inakuwa ya Juma tena, tuna changamoto nyingi tayari wanawake kwenye game so I don’t want to be known as Juma’s girlfriend always. Kuna vitu ambavyo nataka kuongelea, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea show ya 2 Face, ambayo nilikuwa mwanamke pekee anayeperform, na ilikuwa show yangu ya kwanza Kenya, kuongelea Niroge, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea vitu vingi zaidi ya Juma na Vanessa,” ameongeza.
“Lakini pia Juma knows, I do this a lot, people don’t pay attention, If I don’t say ‘I am dating my music, I can say I am focused on music.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top