Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

YALIYOJILI MUDA HUU...MILLARD AYO WA CLOUDS YAMKUTA MAZITO



HAYA NDIO YALIYOMKUTA MILLARD AYO WA CLOUDS INGIA HAPA KUJUA ZAID

Dar es Salaam. Taasisi ya Great Hope Foundation (GHF) leo imemtunukia tuzo ya kuwa mfano wa kuigwa Mtangazaji maarufu wa kituo cha Radio cha Clouds Fm Millard Ayo.

MANENO YA MSANII JOTI YANACHOMA.BOFYA HAPA UMSIKILIZE
Mgeni katika tuzo hizo zilizokwenda kwa jina la ‘Onesha uwezo’ Mkurugenzi mkazi wa Trademark East Afrika John Ulanga alisema Mtangazaji huyo alipambana na kufanikiwa kuonesha uwezo wake ambao sasa umekuwa na mafanikio makubwa kwake na taifa kwa ujumla.
"Millard aliweza kufanya kazi ya utangazaji katika changamoto nyingi ikiwemo kukatishwa tamaa na wazazi wake, kufanya kazi bila malipo kwa muda mrefu lakini leo uwezo unadhihirika,"alisema Ulanga.


Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top