Aliyekuwa Spika Mstaafu wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo, taarifa za awali zinasema amefariki Ujerumani akiwa katika matibabu.
Loading...
#BREAKING Aliyekuwa Spika Mstaafu wa bunge, Samuel Sitta amefariki Dunia usiku wa kuamkia leo huko Ujerumani akiwa katika matibabu.
Post a Comment