Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO MCHANA HUU: MBUNGE GODBLESS LEMA NDIO BASI TENA NASSARI AFUNGUKA MAZITO..


Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha.
Lema anayekabiliwa na tuhuma za uchochezi amefikishwa mahakamani hapo kwa mapema leo (Ijumaa) asubuhi akiwa na watuhumiwa wengine na kupelekwa moja kwa moja mahabusu akisubiri uamuzi wa mahakama wa kupewa dhamana au la.
Mbunge wa Arumeru Mashariki (Chadema) Joshua Nassari amesema afya ya mbunge huyo ni njema na wanasubiri mahakama ifanye uamuzi wake hapo mchana.
Kuhusu usalama Jeshi la polisi limeimarisha usalama ndani na nje ya mahakama hiyo huku wafuasi wa Chadema wakiwa katika mahakama hiyo wakisubiri hatma ya kiongozi wao.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top