Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI YA KUSIKITISHA KUTOKA BUNGENI DODOMA MBUNGE MAARUFU AFARIKI DUNIA

Image result for bunge la jamhuri ya muungano wa tanzania
screen-shot-2016-11-11-at-8-08-27-am
Ni habari zinazotoka Dodoma asubuhi hii ya November 11 2016 zikihusu kifo cha Mbunge Hafidh Ali Tahir wa Jimbo la Dimani ‘CCM’ Zanzibar, ni kifo kilichotokea alfajiri ya leo katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma.
millardayo.com & Ayo TV zinaendelea kufatilia taarifa zaidi kuhusu msiba huo. R.I.P Hafidh Ali Tahir

 Mbunge wa Jimbo la Dimani 'CCM' Z'bar Hafidh Ali Tahir amefariki dunia asubuhi ya kuamkia leo katika Hospitali ya mkoa wa Dodoma.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top