Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS: KAMANDA SIRRO ADHIBITISHA TETESI ZA KUPATIKANA KWA MSANII ROMA HIVI PUNDE.ROMAA.png
JESHI la Polisi kanda maalum ya Dar es Salaam limeazimia kumtafuta msanii wa muziki wa Bongo Hip Hop Ibrahim Mussa, (Roma) wa wenzake.

Roma , Monii (msanii),(Bin Raden mtayarisha muziki wa studio hiyo) na emmanuel  walitekwa na watu wasiojulikana siku ya tarehe 5 Aprili mwaka huu usiku wa kuamkia alhamis kwenye kwenye makoa ya studio hizo.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Kamshna wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es salaam Simon Sirro ,amesema kuwa tayari Jeshi la Polisi linamsaka Roma na wenzake pamoja na kuunda timu maalamu.

Kamanda Sirro amesema kuwa amesema kuwa jeshi hilo linaendelea na Upelelezi na kwamba tayari jarada wa uchunguzi wa tukio hilo tayari umeshaundwa.

Amewasisitiza wananchi kuliamini jeahi hilo na kuwa wavumilivu jeshi hilo likiwa linafanya uchunguzi.

Hata hivyo jeshi hilo  limewataka wananchi kuwa na imani na jeshi hilo

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top