Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS:LEO NDIO LEO LEO RAIS MAGUFULI BILA HIYANA KUMTUMBUA PAUL MAKONDA MAJINA YA WENYE VYETI FEKI YAANIKWA HADHARINI KILICHOTEGEMEWA CHATOKEA LIVE..

Rais John Magufuli, leo atapokea taarifa ya kazi ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma katika ukumbi wa Chimwaga mkoani Dodoma.

Taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Naibu Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Jaffar Haniu imesema Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Angellah Kairuki ndiye atawasilisha taarifa hiyo kwa Rais.

Kazi ya uhakiki wa vyeti kwa watumishi wa umma iliendeshwa na Serikali kuanzia Oktoba mwaka jana.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top