Mwaifunga ahukumiwa miaka miwili jela kwa kosa la uchochezi kupitia mitandao ya kijamii::
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya yamhukumu kifungo cha miaka miwili (bila faini) Mwenyekiti wa zamani wa BAVICHA Mbeya Ndg.Moses Mwaifunga kwa madai ya kusambaza taarifa za uchochezi kupitia mitandao ya kijamii.
Sheria ya makosa ya mitandao iliyomtia hatiani Mwaifunga, imeweka option 3 za adhabu. Faini, Kifungo, au vyote kwa pamoja.
Post a Comment