Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

DONE DEAL: AISHI MANULA AIHAMA AZAMA FC LEO ATIMKIA UPINZANI YANGA WAFUNGUKA MAZITO...

Baada ya tetesi za muda mrefu kuhusiana na golikipa wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars anayeichezea club ya Azam FC Aishi Manula kuhusishwa kuwa muda wowote anaweza ihama club hiyo na kwenda kujiunga na Simba huku Singida United ikitajwa kumuwania pia.

Leo June 11 2017 taarifa kutoka katika mtandao wa habari za michezo Tanzania Shaffihdauda.co.tz umetangaza kuwa golikipa Aishi Manula amejiunga na club ya Simba kwa mkataba wa miaka miwili kwa ada ya usajili ya Tsh milioni 50.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top