Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MASIKINI MAKONDA NDIO BASI TENA ASKOFU GWAJIMA MTOBOLEA SIRI HII NZITO ATOA NA USHAHIDI HUU WA KINA.


Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amesema ataendelea kusema ukweli na hataogopa chochote.

“Nitaendelea kusema ukweli fitina kwangu mwiko” alisema hayo katika mahubiri yake ya jana kanisani kwake Ubungo.

Pamoja na mambo mengine, Askofu huyo, alisema Clouds Media ni rafiki zake kwa sababu wamewaeleza ukweli watanzania.

Alisema hata waislamu ni rafiki zake kwani ndiyo waliomlea baada ya kutelekezwa akiwa mdogo.

Wasanii maarufu wa redio ya EFM, Mkude Simba na Stanley walikuwa kanisani hapo jana huku Mchungaji Gwajima akiongoza misa kwa mada ya vipaji na vipawa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top