Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

PAUL MAKONDA AMUANGUKIA ZITTO KABWE MBELE YA UMATI WA WATU.

Mkuu wa Mkoa wa Dsm, Paul Makonda akiwa kwenye interview amesema Mbunge wa Kigoma Mjini(ACT) ndiye Mbunge anayemsaidia kuelewa siasa.

Afafanua kuwa, Zitto anajua kujenga hoja za kuiyumbisha serikali hasa kwenye kusimamia mambo mbalimbali yenye maslahi ya kitaifa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top