Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Taarifa kuhusu Mbunge Peter Lijualikali kuachiwa huru

January 11 2017 Mbunge wa Kilombero kwa ticket ya CHADEMA Peter Lijualikali alihukumiwa jela miezi 6 baada ya kupatikana na hatia katika kesi ya kufanya vurugu kipindi cha uchaguzi wa Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Kilombero. Mbunge Lijualikali alishtakiwa kwa kuwashambulia polisi kwenye siki hiyo ya uchaguzi.
Leo March 30 2017 Mahakama kuu kanda ya Dar es salaamimetengua hukumu hiyo iliyotolewa na mahakama ya wilaya ya Kilombero Mbunge wa Kilombero Lijualikali amechiwa huru.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top