Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

VIDEO: Uzinduzi wa filamu mpya ya mwigizaji Kajala ‘Sikitu’ Dar es Salaam

Mwigizaji wa filamu Kajala Masanja (July 15) amezindua filamu yake mpya iitwayo‘Sikitu’.Uzinduzi huo umefanyika Quality Center (Movie Theater) Dar es Salaam kuhudhuriwa na waigizaji wenzake pamoja na wadau wa filamu nchini Tanzania.
Itazame hii video hapa uone jinsi ilivyokuwa kutoka kwenye eneo la tukio

ULIIKOSA HII PARTY YA BLACK TIE YA WEMA, IDRIS, BELA BASI ITAZAME HII VIDEO HAPA



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top