Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS: HII HAIJAWAHI TOKEA MWILI WA MAREHEMU SITTA WAAGWA SHUHUDIA TUKIO HILI URAMBO NZIMA YAZIZIMA,,,


Dar es Salaam. Mamia ya wananchi mkoani Tabora wamejitokeza kumuaga Spika wa Bunge Mstaafu, Samuel Sitta aliyefariki usiku wa kuamkia Jumatatu ya wiki hii.
Wananchi hao wamejitokeza katika Uwanja Shule ya Msingi Urambo jirani ya nyumbani kwake Sitta shughuli ya kutoa heshima za mwisho wa wananchi hao imeanza saa moja asubuhi.
Wananchi hao walijipanga katika mstari mrefu kwa ajili ya kupita pembeni ya jeneza lenye mwili wa Sitta, ambapo toka asubuhi maduka mengi wilayani Urambo yalikuwa yamefungwa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top