Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO: HII NDIO SIRI NZITO NA SABABU ILIYOMFANYA LEO MAKONDA KUKWEPA KUTAJA MAJINA WAUZA MADAWA.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda leo ameamua kutokutaja majina 97 ya watuhumiwa dawa za kulevya badala yake ameyakabidhi kwa Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Simon Siro ili ashughulike nayo.
Akizungumza leo katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere Makonda ambaye awali alitaka majina zaidi ya 70 katika makundi mawili, amesema ana imani Siro atayashughulikia ipasavyo wahusika.
Mbali na hilo Makonda ameyamulika maduka ya kubadilishia fedha na viwanja vya ndege kuwa vinatumika kutakatisha fedha za dawa za kulevya.
“Viwanja vya ndege mamilioni yanapita na hakuna msisitizo wa kukomesha, tushirikiane katika hili kukomesha , mkoa mmoja zipo Bureau De change zaidi ya 220. Wakati tunatumia fedha za ndani badala ya dola, nchi nzima zipo 400,

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top