Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HAKUNA NAMNA TENA HII NDIO KAULI NZITO YA ASKOFU GWAJIMA ALIYOWASTUA WAUMINI PUNDE BAADA YA KUTOKA SELO.

Askofu Josephat Gwajima wa kanisa la Ufufuo na Uzima ameachiwa na Polisi leo jioni baada ya mahojiano yaliyodumu toka Alhamisi mchana kwenye kituo cha Polisi kati Dar es salaam kufuatia sakata la dawa za kulevya.
Baada ya kuachiwa Askofu huyo aliandika yafuatayo kwenye mitandao yake ya kijamii >>> “FREE AT LAST: Mungu awabariki wote mlioomba kwa ajili ya jambo hili, kesho nitakuwepo kwa ajili ya Ibada ya Jumapili, Kanisa la Ufufuo na Uzima Dar es Salaam. Mungu awabariki sana nawapenda nawaombea wote mlioomba kwaajili ya hili”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top