Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

KASHFA NZITO YAMUIBUKIA PAUL MAKONADA MBUNGE MSUKUMA AFUNGUKA MAZITO MNO LEO HII.

Vyanzo vya Taarifa katika Kikao cha Bunge kilichoendelea jana jioni, Mbunge wa Geita Ndugu Musukuma amemtuhumu RC Makonda kuwa naye anahusika na dawa za kulevya.

Amedai kawa RC Makonda kwa mshahara wa U RC aeleze ni akina nani walimsafirisha kwenda Marekani na PARIS.

Musukuma ameenda mbele zaidi kasema Makonda aanze na wakwake aliyowapangishia majengo

Tuhuma za Makonda kusafirishwa likizo Nje ya Nchi na kuwa waliomsafirisha wanahusika na madawa ya kulevya hivyo anawalinda inaibua maswali mapya. Je nani anagharimia safari za Makonda Nje ya Nchi.

Hii vita ni kubwa ndugu zangu.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top