Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS:AGIZO LA MH NCHEMA KWA NAPE LAMUIBUA TENA RAIS MAGAFULI HII SASA NI KIBOKO.


Baada ya tukio la mtu ana anayedaiwa kuwa ni Askari kanzu kuonekana akimtishia Bastola Waziri za zamani wa Habari, utamaduni, sanaa na michezo na Mbunge wa Mtama Nape Nnauye  February 23, 2017 wakati alipotaka kuongea na Waandishi wa habari muda mchache baada ya taarifa ya Rais Magufuli kufanya mabadiliko ya Wizara aliyokuwa akiiongoza.
 Leo March 24, 2017 Waziri wa Mambo ya Ndani, ya nchi Mwigulu Nchemba alitumia ukurasa wake wa Intagram na kusema..>>’Mh.Nape Moses Nnauye sio jambazi, ni mtanzania, ni mbunge, mjumbe wa NEC wa CCM, hana record ya uhalifu
Kitendo cha mtu kumtolea Bastola, Sio cha kiaskari, sio cha kitanzania na sio cha ki Mungu, kama mtu ameweza kutoa Bastola mbele ya Kamera nawaza mbali ingekuwa kwenye uchochoro angefanya nini‘ –Mwigulu Nchemba
Nahusika na Usalama wa Raia wote wa Tanzania, nimemwelekeza IGP atumie picha kumsaka mtu yule aliyeinua kufanya kitu cha kihalifu kwa kofia ya uaskari. Na kama ni Askari basi sheria zinazoongoza taasisi husika zichukue mkondo wake‘ –Mwigulu Nchemba

2 comments

HIZO KAULI AMBAZO TUMEZOEA KUZISIKIA HATIMAYE HATUONI KINACHOFANYIKA ZITAKUWA NA TOFAUTI GANI NA HII YA NCHEMBA?...TUNATAKA KUONA ACTUAL ACTION CARRIED OUT AND NOT JUST WORDS OF SYMPATHY ON NOTHING DONE AGAINST THE CRIME!

Reply

TUNATAKA KUONA ACTUAL ACTION CARRIED OUT AND NOT JUST WORDS OF SYMPATHY ON NOTHING DONE AGAINST THE CRIME!
https://dailyevents310.blogspot.com/2017/03/breaking-newsagizo-la-mh-nchema-kwa.html?showComment=1491830789346#c3974298036085527734

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top