Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO: KIMENUKA CUF MAALIM SEIF AVULIWA UKATIBU MKUU CUF HIVI PUNDE.


Baraza Kuu la Uongozi Taifa la Chama cha Wananchi(CUF) leo limemvua Maalim Seif nafasi ya Ukatibu Mkuu na kumpa Magdalena Sakaya.

Taarifa ya hatua hiyo imetangazwa Mapema leo na Prof Ibrahim Lipumba


Habari zaidi itakujia hivi punde...

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top