Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

NOMA ZAIDI YA NOMA BI SOPHIA SIMBA HATIMAE AFUNGUKA MAZITO BILA WOGA AMPA MAKAVU RAIS MAGUFULI.


Siku moja baada ya mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA kuwakaribisha kwenye chama chake kipya waliofukuzwa CCM kwenye mkutano maalum, aliyekuwa mwenyekiti wa UWT, Sophia Simba amesema amukua kwenye chama hicho kwa miaka 46 na hataenda chama kingine bali atabaki kuwa mkereketwa mwaminifu wa chama cha mapinduzi.

1 comments:

Ni vizurisana ikiwa anasema haya kutoka moyoni. Hata hivyo, itabidi wamjadili tena na kumpa muda wa kuonyesha kwamba ametubu madhambi yake kwa dhati. Ndipo watamfikiria ombi lake ambalo atakuwa ameliandika kimaandishi kusudio lake. Mimi naona ni jambo jema tu.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top