Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HII NI NOUMA KWA HILI LEMMA NASTAHILI HESHIMA YA AJABU ASIMULIA MKASA HUU MZITO MNO.




Jana mkutano wa saba wa bunge uliendelea ambapo wabunge walikuwa wakijadili mapitio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya Waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka wa fedha 2017/2018

Kati ya Wabunge waliopata nafasi ya kusimama ni pamoja na mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema, ambaye alisimulia jinsi alivyotupwa selo miezi minne gerezani huku dhamana yake ikiwa wazi.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top