Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MAAJABU BAADA YA KIPIGO CHA MBAO YANGA YAMUANGUKIA MANARA..

Baada ya Yanga kukubali kipigo cha 1- 0 dhidi ya Mbao FC na kutolewa kwenye nusu fainali iliyopigwa kwenye uwanja wa CCM kirumba, Haji Manara amefunguka na kuwataka Yanga kwa sasa waendelee kusubiri kubebwa tu kwani wameshindwa kushindana uwanjani.

Haji Mnara aliyasema hayo jana kupitia ukurasa wake wa Instgram na kusema washukuru wametoka katika hatua ya nusu fainali kwani wameingia fainali na kukutana na Simba wangepigwa bao 5-0 na Wekundu wa Msimbazi 

"Kimenasia kimoko, dadadeki, na hiyo ndio salama yenu mngeingia fainali tungewapa tano, haya subirini mbeleko zenu nyingine" alisema Haji Manara

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top