Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

AUDIO: Polisi Pwani yazungumzia picha zinazosambaa kuhusu ajali ya Ngorika na Ratco eneo la Msata

Kumekuwapo na picha ambazo zimesambaa kuhusu ajali inayodaiwa kuhusisha basi la kampuni ya Ngorika na lingine la Ratco kwamba yamegongana uso kwa uso.Millardayo.com imempata kamanda wa polisi mkoa wa Pwani, Bonaventure Mushongina ameeleza haya……
>>> ‘mpaka sasa hivi kulingana na mimi nilivyofuatilia bado sijaona, tumejaribu kufuatilia kila hatua, hawa waliotuma wanaweza wakatusaidia lakini mpaka sasa hivi kulingana na taarifa zangu za barabarani sina taarifa hizo mpaka sasa hivi’
>>>’hali hii inatisha watu, unajua siku mbili tatu kumekuwa na ajali za kutisha hivyo unapoongelea vitu vingine unasababisha taharuki, ningeliomba tusitumie vibaya mitandao hii kwa sababu sheria ziko wazi’Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top