Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO YA KUSIKITISHA: MASIKINI MH LEMA APATA PIGO ZITO MAHAKAMANI HIVI PUNDE HII NI ZAIDI YA MAUMIVU MAKALI.


Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetupa ombi la Mbunge wa Arusha Mjini (Chadema), Godbless Lema la kutaka marejesho ya kesi yake.
Mahakama hiyo imewataka mawakili wake kukata rufaa ya kupinga zuio la dhamana.
Lema ambaye amesota mahabusu tangu akamatwe mkoani Dodoma Novemba 3, anakabiliwa na tuhuma za kutoa lugha ya uchochezi dhidi ya Rais John Magufuli.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top