Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO:HUU NI MOTO MWINGINE WAZIRI MKUU MAJALIWA AFANYA TUKIO ZITO NA LAKUSISMUA MNO RAISMAGUFULI AMVULIA KOFIA..



Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.
Pwani. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ametoa siku 18 kwa mkandarasi anayefanya kazi ya kuunganisha umeme kwenye Kiwanda cha Kiluwa Steel Group awe amemaliza kazi ya kufunga umeme mkubwa ili kianze uzalishaji.
Alitoa agizo hilo jana wakati akizungumza na wananchi na viongozi wa Mkoa wa Pwani waliofika kiwandani hapo eneo la Mlandizi.
Alikuwa akikagua utekelezaji wa maagizo aliyoyatoa Julai 12, alipotembelea kiwandani hapo kwa mara ya kwanza.
“Nilipokuwa hapa mara ya kwanza niliagiza itengenezwe njia ya reli kutoka njia panda ya reli ya kati, lakini pia niliagiza uwekwe umeme wa msongo mkubwa ili kiwanda kiweze kuanza uzalishaji mapema mwakani. Nimefarijika kukuta maagizo haya yametekelezwa kwa kiasi kikubwa isipokuwa hili la umeme,” alisema Majaliwa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top