Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HII NI NOUMA CHADEMA YAFANYA MAZITO BARANI ULAYA HUU NDIO UJUMBE MZITO WA MBOWE ULILOLITIKISA BARA LA ULAYA.



Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na ujumbe wake wako katika ziara ya kichama ya siku 14 barani Ulaya, ikiwamo kuhudhuria mkutano maalumu wa Umoja wa Vyama vya Kidemokrasia Duniani (Idu).
Kwa mujibu wa Mkuu wa Idara ya Habari wa Chadema, Tumaini Makene, ujumbe huo unaowahusisha mwanasheria mkuu wa chama, Tundu Lissu na mkurugenzi wa mambo ya nje na mawasiliano, John Mrema utafika katika nchi za Ujerumani, Uingereza na Ubelgiji ambako ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Ulaya.
Akiandika katika ukurasa wake wa Twitter, Mbowe amesema, “Nikiwa London, pamoja na ujumbe huo, nitakutana na viongozi mbalimbali wa Serikali, wabunge, ujumbe maalumu wa Jumuiya ya Madola na wawakilishi wa taasisi mbalimbali za kimataifa.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top