Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS: CCM SASA YASEMA BASI HAYA NDIO MAAMUZI MAZITO MNO JUU YA MH MAKONDA LEO HII.

Nilisema Nitanyamaza lakini Nimeshindwa. Nimethibitisha bila mashaka Clouds kuvamiwa na Rc akiwa na ulinzi na askari wenye silaha mpaka kwenye matangazo.

Najua hofu mliyonayo watanzania juu ya huyu Rc.

Ikiwa mamlaka zitaendelea kufumbia macho.Mimi Elibariki Immanuel Kingu mbunge wa CCM nitakuwa wa kwanza kufukuzwa CCM kama kupinga matendo maovu ya Rc huyu itaonekana ni usaliti kwa nchi.

Haiwezekani Rais wetu atukanwe kila kona kwa matendo ya mtu huyu.
Wana CCM ukimya wetu kwenye hili halikubaliki.

Magufuli juzi ametuliza Dodoma kwa kuongea kwa hisia.Idara za usalama kweli mmeamua kuacha tutukanwe?

Naomba sasa niweke kumbukumbu sawa najua mnamchafua kila anayempinga RC huyu kwa matendo yake ambayo yanakiuka utawala bora.

Naomba niwe wa kwanza kufukuzwa CCM kwa kumpinga Rc Makonda

Elibariki Immanuel Kingu

Mbunge.

1 comments:

Hongera,nakutakia safari njema Ndg.Kingu.

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top