Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

BREAKING NEWS:BOSS WA CLOUDS RUGE MUTAHABA AMKAANGA VIKALI MKUU WA MKOA PAUL MAKONDA.

PAUL MAKONDA ametukosea sana hakupaswa kulazimisha kipindi kiruke hewani kitu ambacho si sawa kwa kipindi ambcho haikiuwa na balence yeyote Paul sisi ni rafiki yetu mkubwa sana tuna saidiana kwa mambo mengi ila kwa hili hawezi kufanya jambo la aibu mno na ni maumivu makubwa sana kwetu nikiwatazana vijna wa SHILAWADU naumia sana vijana wangu wako disapointed sana inafikia vijana sasa wanashindwa kabisa kufanya kazi na wanaomba likizo kwa kila jambo hili....



Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top