Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO: MASIKINI WAZIRI NAPE NDIO BASI TENA HIVI NDIVYO MAGUFULI ALIVYOMTIA KITANZI KIKALI.

Download Video ya Gwajima Download Video ya Gwajima" imageanchor="1" style="margin-left: 1em; margin-right: 1em;">NAPEEEE
Juzi Mh.Waziri nape aliunda kamati ya kwenda kumuhoji RC Makonda juu ya Tuhuma za Kuvamia kituo cha Clouds usiku akiambatana na Askari wenye Silaha .
Sasa baada ya kuzuru Kituoni hapo akiongea na waandishi alisema ameunda kamati ya masaa 24 kwa ajili ya kupata taarifa upande wa pili kwa nini kafanya vile hiyo ilikuwa asubuhi,siku hiyohiyo Rais alikuwa akiweka jiwe la msingi ujenzi wa barabara za juu eneo la ubungo na akatoa tamko kwamba Makonda chapa kazi na asisikilize maneno ya mtandaoni.Sasa kwa kauli ile ya Rais bado nabaki njiapanda Nape atatoa maamuzi gani juu ya tukio lile.hakika bado nasubiria kwa hamu nijue kwani masaa 24 yalishapita toka jana.

1 comments:

Hivi hamna habari zingine ?

Reply

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top