Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

DUH HII NI TOO MUCH HUU NDIO UNYAMA ALIOFANYA MWAKYEMBE KWA REDIO NA TV ZOTE NCHINI LEO HII

Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe amepiga marufuku Runinga na Redio kusoma habari nzima katika magazeti huku akivitaka kusoma vichwa vya habari tu.

Dkt. Mwakyembe ametoa agizo hilo, jijini Mwanza ambapo amesema kutekelezwa kwake kunaanza kesho (Alhamisi) tarehe 04/05. Leo ikiwa ni siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani, Mwakyembe amesema ataendelea kutetea na kulinda haki za waandishi wa habari huku akiwahakikishia ulinzi katika kazi zao.

Mwakyembe amesema amepiga marufuku kusomwa kwa magazeti kwenye runinga na redio, ili magazeti yaweze kuuzwa kwani punde habari yote inaposomwa kwenye chombo cha habari na watu wakasikiliza maeneo yote, hakuna mtu atakayenunua gazeti hilo.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top