Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

KUTOKA BUNGENI:BUNGE LAWAKA WABUNGE WAKINUKISHA WAFUNGUKA MAZITO JUU YA SAKATA NYETI MNO LA RAIS MAGUFULI


Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega amesema kuna watu walikuwa wanaitukana serikali kwa kushindwa kununua ndege hata ndogo na kushindwa hata na baadhi ya nchi za jirani lakini baada ya serikali kununua ndege mpya bado watu haohao wameendelea tena kutoa kasoro.
Ulega amesema…>>>‘Tulikuwa tukitukanwa kuwa nchi kubwa kama Tanzania inashindwa na vinchi vidogo, leo tumenunua ndege sita na mwakani tunanunua ya saba, watu wanakuja na maneno ya ajabu, mimi nasema hayo ni matango pori

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top