Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO: BAADA YA LIPUMBA KUCHAFUA HALI YA HEWA CLOUDS T5V RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MZITO NCHINI KWA PROFESA..

Rais John Magufuli amemteua, Profesa Egid Mubofu kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS).

Taarifa iliyotolewa leo na Katibu Mkuu Kiongozi, John Kijazi inaeleza kuwa  uteuzi wa Mubofu umeanza tangu Mei 2 mwaka huu.

Profesa Mubofu aliyekuwa akikaimu nafasi hiyo amechukua nafasi ya Joseph Masikitiko ambaye uteuzi wake ulitenguliwa Julai mwaka jana.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top