January 15 2016 ndio inaelekea mwisho wa siku lakini habari
ni wakati wowote, inaponifikia mpya yoyote ni jukumu langu pia
kuhakikisha haupitwi na hauchelewi pia kujua kinachoendelea.
Ninayo ripoti ya Mwanza, kumekuwa na vichwa vya habari kuhusu
watendaji kadhaa kusimamishwa kutokana na sababu mbalimbali,
maamuzi ya Rais Magufuli yameigusa Mwanza leo…
Rais Magufuli amemsimamisha kazi Katibu Tawala
wa Mkoa wa
Mwanza, Dk. Faisal Issa kwa tuhuma za ukosefu wa nidhamu
aliouonesha wakati wa kikao cha Kamati ya Usalama
ambapo Mkuu wa Mkoa wa Mwanza alikuwa mmoja ya
waliokuwemo kwenye kikao hicho.

Post a Comment