Home
» MATUKIO
» NEWS
» BREAKING NEWS:..WATANZANIA WATEKETEA TENA MUDA HUU KWENYE AJALI MBAYA YA BASI LA "KIRUTO" LITOKALO KONDOA-DAR, GARI HILO HALITAMANIKI TENA ABIRIA WAPOTEZA MAISHA NA WENGINE KUJERUHIWA
Basi la kiruto lililokuwa likitokea Kondoa kwenda Dar limepata ajali mbaya maeneo ya Gairo ambapo gari hilo limeharibika vibaya na Inasadikiwa watu kadhaa wamepoteza maisha na wengine kujeruhiwa.Tunafuatilia na tutawalete taarifa kamili.
Post a Comment