Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

EXCLUSSIVE NEWS: HAKUNA ALIETEGEMEA HILI JPM LEO KWA KINYWA CHAKE AFUNGUKA SIRI NZITO JUU YA SEKESEKE HILI ZITO KUWAHI KUTOKEA.



Rais John Magufuli ameeleza sababu za kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kuwa ilitokana na bodi hiyo kuidhinisha mamlaka hiyo kuweka mabilioni ya fedha kwenye benki binafsi
Novemba 20 mwaka huu Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi hiyo, Bernard Mchomvu na kuivunja hiyo bila kueleza sababu zozote.
Akizungumza leo wakati wa sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani, Rais Magufuli amesema kuwa TRA walichukuwa fedha mabilioni na kuweka fixed account benki 8 binafsi na bodi ikaidhinisha.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top