Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO YA HIVI PUNDE: WAZIRI MKUU MSTAAFU CLEOPA MSUYA AMFUNULIA ILIYOKUWA SIRI NZITO RAIS MAGUFULI JPM ASHTUSHWA VIKALI NA UJUMBE HUU..

Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya ametaja changamoto ambazo Serikali ya Rais John Magufuli inapaswa kuzifanyia kazi katika kipindi cha miaka mitano.

Msuya aliyewahi kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Mbunge wa Mwanga kwa miaka 20 hadi mwaka 2000, alitaja changamoto hizo kuwa ni umaskini, kuongeza kipato na ajira kwa vijana.

Alisema hayo mwishoni mwa wiki mjini Moshi wakati wa uzinduzi wa mpango mkakati wa miaka mitano wa Jukwaa la Maendeleo Kilimanjaro (KDF).

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top