Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

SIRI NZITO YAFICHUKA DK TULIA ASEMA MAAMUZI ALIYOKUWA ANATOA BUNGENI HATA YEYE YALIKUWA HAYAMPENDEZI, ILA UKWELI SASA UPO HIVI..

Najua kuna watu wangu wengi wamemfahamu Naibu spika Dr. Tulia Ackson zaidi katika mkutano wa tatu wa bunge la 11 ambapo headline nyingi ziliandikwa dhidi yake ikiwemo ishu ya wabunge wa upinzani kususia sehemu ya mkutano huo kwa madai hakuwa akitenda haki.
Lakini kuna baadhi ya mambo yawezekana kabisa ukatamani kuyajua kutoka kwake mfano ukikutana na Dr. Tulia mwenyewe ukamuuliza kama alishawahi kujutia maamuzi yoyote aliyowahi kuyafanya akiwa kwenye kiti majibu yake yatakuwa haya….
Hapana kwasababu mara nyingi nimekuwa nikifanya maamuzi kulingana na kanuni, kwahivyo maamuzi yote niliyokuwa nikifanya yaweza kuwa hayanipendezi hata mimi lakini kwa mujibu wa kanuni ni lazima yafanywe‘ –Dr. Tulia Ackson
Aidha ukimuuliza alikuwa anajisikiaje wabunge wa upinzani kususia vikao? Dr.Tulia ameyajibu haya..>>>’Wabunge kutoka ni jambo la kawaida lakini lile lilikuwa la ajabu kwa sababu wanatoka wote kwa pamoja, ningetamani wabaki lakini ni misimamo ya vyama kushughulika na wabunge wake‘ –Dr. Tulia Ackson
Wapo waliokuwa wanapenda kuendelea kubaki ndani ya bunge lakini hawakuweza kwavile akitoka anaweza akanyang’anywa kadi yake‘ – Dr. Tulia Ackson

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top