Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HAKUNA ALIEAMINI ANNA MGWIRA ANDIKA HISTORIA NZITO DUNIANI NI BAADA YA .KAULI YAKE HII NZITO

Aliyekuwa mgombea urais mwaka jana kwa tiketi
Aliyekuwa mgombea urais mwaka jana kwa tiketi ya ACT- Wazalendo, Anna Mghwira amewataka viongozi wa dini kusimama mstari wa mbele katika kusimamia maadili ya wananchi na viongozi wa Serikali nchini.
Akizungumza na gazeti hili, Mghwira alisema viongozi wa dini wanatakiwa kujitokeza kushauri mambo mbalimbali kulinda maadili ya nchi na kuendeleza taifa lenye ustawi bora.
“Viongozi wa dini wanatakiwa kufunguka, kusikika na kutokeza, hatuwezi kuwa tunaenda kanisani na msikitini kila siku, halafu maadili katika nchi yanaporomoka ni lazima umuhimu wa dini uonekane katika jamii,” alisema Mghwira.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top