Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

HABARI NZITO:KIMENUKA TENA CCM BASHE PAMOJA NA MSUKUMA WAKUTANA NA PIGO ZITO MAKONDA ATAJWA TENA.


Dodoma. Wabunge wawili na aliyekuwa naibu waziri wa fedha, Adam Malima wanahojiwa na polisi mjini hapa kwa kosa la kutaka kufanya vurugu na uchochezi katika vikao vya CCM.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, Lazaro Mambosasa amethibisha na kuwataja waliokamatwa kuwa ni Mbunge wa Nzega Mjini, Hussein Bashe na Mbunge wa Geita vijijini ambaye pia ni Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Geita, Joseph Kasheku maarufu kama Musukuma na Malima.

“Hao ndio waliokamatwa na bado tunaendelea na mahojiano na wengine bado tunaendelea kuwatafuta,”amesema Mambosasa.

Amesema  taarifa zaidi atazitoa baada ya uchunguzi wa tukio hilo kukamili

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top