Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

LOWASSA, MAALIM SEIF WAUSHTUA UMMA WA TANZANIA BAADA YA KUFANYA MAAMUZI HAYA MAZITO KWA PROF LIPUMBA.

Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa amekutana na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif katika ofisi ya Lowassa  iliyopo Mikocheni jijini hapa leo mchana.

 Katika mkutano huo  Lowassa na Maalim  wamejadiliana masuala ya siasa ikiwamo migogoro ya ndani ya CUF na namna ya kuimarisha umoja na mshikamano wa umoja wa vyama vya upinzani.

Maalim Seif, ni Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu wa Zanzibar na Lowassa ni mjumbe wa kamati kuu ya Chadema.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top