Loading...
Home »
Unlabelled »
HABARI MBAYA: JIJI LA DAR LAVAMIWA NA WATU WASIOJULIKANA NA KUCHOMA WATU VISU KWENYE DALADALA
Mtu mmoja aliyekuwa abiria ndani ya daladala lililokuwa likitoka mjini kuelekea Makubusho amewashambulia kwa kisu abiria kadhaa ndani ya gari maeneo ya Magomeni na kuwasababishia majeraha makubwa, majeruhi wote wamekimbizwa Hospitali ya Mwananyamala, Mshambuliaji huyo ameuawa na wananchi wenye hasira kali.
Hadi sasa haijafahamika nini lililkuwa lengo la mshambuliaji huyo.
23 July 2015
Post a Comment