Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

PICHA NA VIDEO: DIAMOND AKUSANYA KIJIJI CHA MOMBASA KENYA HII NI BALAA

Mkali wa muziki kutoka Tanzania, Diamond Platnumz ameendelea kuonyesha umwamba wake nchini Kenya katika show iliyofanyika Mombasa Jumamosi hii na kuhudhuriwa na maelfu ya watu.

Muimbaji huyo ambaye kwa sasa anafanya vizuri Afrika pamoja na kimataifa, ameendelea kudhihirisha ukubwa wake baada ya show yake kuhudhuriwa maelfu wa mashabiki.

Kupitia instagram yake, Diamond aliandika “It’s 4:35 am now in East africa… am now going to sleep then right after waking up, will start posting my all Mombasa show Pictures…. thanks,”

Angalia video:

PICHA : Jose Mourinho alivyotambulishwa kwa mara ya kwanza Old Trafford

Baada ya Man City kumtambulisha Pep Gurdiola Etihad, leo July 5 2016 uongozi wa klabu ya Man United ya England walimtambulisha rasmi kocha wao Jose Mourinho Old TraffordMourinho ametambulishwa na kuongea vitu vingi katika press conference, ikiwemo kusikitishwa kwake kwa Man United kukosa mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya.
35F79E5000000578-3674838-Jose_Mourinho_is_officially_unveiled_as-a-26_1467713662325
Jose Mourinho ametambulishwa Man United na kufanya mkutano na waandishi wa habari kwa mara ya kwanza, katika mkutano wake wa kwanza na waandishi wa habariMourinho kaongea vitu vingi ikiwemo kutoa kauli zake ambazo zimetafsirika kama kejeli kwa kocha wa Arsenal Arsene Wenger kwa kukosa Ubingwa kwa miaka mingi.
35F7B7B100000578-3674838-image-m-33_1467715946398
“Hata hivyo siwezi kuficha kusikitishwa kwangu na Man United kukosekana katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya, naimani ni kwa msimu mmoja tu ndio tutakuwa hatushiriki michuano hiyo ila hadi July 2017 tutalazimika kuhakikisha tunashiriki michuano hiyo”

Baada ya miaka kadhaa,Diamond kampost Wema Sepetu kuhusu issue hii..

Mapenzi ya Diamond Platnumz na Wema Sepetu ni miongoni mwa mapenzi yaliokuwa kwenye midomo ya Watanzania wengi kutokana na watu wengi kuvutiwa na ‘Couple’ hiyo,mwishoni mwa mwaka 2014 waliingia kwenye headlines za kuachana na kila mmoja kuendelea na maisha yake.
post
Diamond Platnumz kwa sasa yuko na Mama mtoto wake Zari huku Wema Sepetu akiwa na mshindi wa Big Brother 2014 Idris Sultan,toka Diamond na Wema Sepetu kuachana tumesikia mara kadhaa wakiripotiwa kuwa hawaelewani,lakini July 05 Diamond Platnumz ameamua kuonyeshesha kuwa hawana tofauti kwa kupost tangazo la show ya Christuan Bella na Idris Sultan show ambayo inasemekana imeandaliwa na Wema Sepetu.
Kwa siku kadhaa Wema Sepetu ameonekana akijirekodi akiimba nyimbo za Diamond Platnumz kwenye mtandao wa Snapchat.

HILI NDILO GETI LA UWANJA WA TAIFA LILILOVUNJWA NA MASHABIKI WAKILAZIMISHA KUINGIA UWANJANI

MASHABIKI wamevunja geti la kuingia uwanjani na wameanza kupambana na polisi ambao wamelipua mabomu ya machozi na kuwamwagia maji ya kuwasha.Co-ordinator wa mchezo huo ametoa tahadhari kama hali itaendelea hivi basi atasimamisha mchezo huo.
 

Watu 50 wauawa Orlando, Marekani

Watu 50 sasa wanajulikana kuuawa kwa kupigwa risasi wakati wa shambulizi lililotokea kwenye baa moja katika jimbo la Florida, na kuwa moja ya mashambulizi mabaya zaidi katika historia ya Marekani.
Watu wengine 50 wako hospitalini. Vyombo vya habari vimemtambua mwanamme ambaye alitekeleza shambulizi hilo katika mji wa Orlando kuwa raia wa Marekani, Omar Mateen.

Mwanamme huyo wa umiri wa miaka 29, alikuwa amejihami kwa bunduki mbili wakati alifyatua risasi katika baa ya Pulse siku ya Jumaosi

Aliwashika mateka karibu watu 30 kabla ya polisi kumpiga risasi na kumuua.

Master Jay: Tulikuwa Wapenzi Miaka 10 Bila Kujulikana

Akizungumza na MTANZANIA hivi karibuni, Master Jay alisema walikuwa katika mapenzi ya siri kwa muda wote huo hadi walipoamua kuweka wazi hivi karibuni baada ya watu kuhisi uhusiano wao.

“Nilimpenda Shaa kwa sababu ni msichana anayejielewa pamoja na kazi zake anazozifanya ni nzuri, hata hivyo tumeendana katika mapenzi yetu,’’ alielezea.

Mtayarishaji huyo ana watoto watatu kwa mke wake na hawana mtoto na Shaa.

Wabunge Wa CCM Waungana Na Upinzani Kuibana Serikali Kuhusu Ujenzi Wa Reli, Kuhamiashia Hela BoT Na Shirika la Ndege ATCL


Bila kujali itikadi za vyama vyao, wabunge wameukosoa mwongozo wa kuandaa mpango wa Bajeti ya Serikali ya mwaka wa fedha wa 2016/17, wakihoji suala la ujenzi wa reli ya kati kwa viwango vya kimataifa pamoja na mambo mbalimbali.

Pia, wamepinga mpango wa Serikali wa kutaka mapato yote ya halmashauri, taasisi na mashirika ya umma kuwekwa kwenye mfuko mkuu wa Serikali na kuitaka itafute vyanzo vipya vya mapato.

Katika kuonyesha msimamo wa pamoja, wabunge wote wanaotokea mikoa ambayo Reli ya Kati inapita wameunda umoja kuhakikisha Serikali katika mpango wake wa bajeti ya 2016/17, inakuja na mwelekeo wa ujenzi wa reli ili nchi ipate maendeleo ya kweli, si ya kwenye makabrasha.

Umoja huo uko chini ya uenyekiti wa Ezekiel Maige, mbunge wa Msalala (CCM), wakati Zitto Kabwe, ambaye ni mbunge wa Kigoma Mjini (ACT Wazalendo), anakuwa katibu wa wabunge hao walio katika mikoa inayoanzia Dar es Salaam kupitia Tabora hadi Mwanza na kutokea Tabora hadi Kigoma.

Mikoa mingine inayounganishwa na reli hiyo kongwe ni Shinyanga, Morogoro na Dodoma.

Akichangia mjadala kuhusu mwongozo huo, Zitto alitahadharisha dhidi ya siasa za kikanda.

“Tunapaswa kuwa makini sana kwenye siasa za kikanda. Tusikubali maslahi ya nchi nyingine yafunike maslahi ya nchi yetu. Ni lazima tuhakikishe mtandao wa reli ambao utaisaidia nchi yetu,” alisema kiongozi huyo wa chama cha ACT-Wazalendo.

“Juzi nilisikia kwamba tuna tatizo la fedha. Mwaka jana Bunge lilipitisha sheria ya Kodi ya Maendeleo ya Reli ambayo inataka kila mzigo unaoingia nchini, utozwe asilimia 1.5 kwa ajili ya reli. Tunacho chanzo cha uhakika cha fedha na tunachopaswa kufanya ni kuhakikisha kwamba chanzo hiki kinatumika kwa madhumuni yaliyokusudiwa.

“Tupewe tafsiri ya Reli ya Kati. Kwetu sisi Reli ya Kati ni ile inayotoka Dar es Salaam, Tabora, Uvinza (kwenda msongati Burundi). Kutoka Kaliua kwenda Mpanda mpaka Kalema kwa ajili ya ujenzi wa Bandari ya Kalema. Kutoka Isaka kwenda Keza Ngara kwa ajili ya madini ya Nikel yaliyogundulika huko ili kusafirishwa kwenda Dar es Salaam.”

Mvutano kuhusu reli ulianza tangu wiki iliyopita katika mjadala wa hotuba ya Rais John Magufuli wakati mbunge wa Nzega Mjini (CCM), Hussein Bashe aliposema atawashawishi wenzake kuigomea bajeti ya 2016/17, iwapo Serikali haitatoa mwelekeo wa ujenzi wa reli hiyo ya kati.

Kuhusu Shirika la Ndege Tanzania (ATCL), Zitto alisema badala ya Serikali kukimbilia kununua ndege mbili, inapaswa kulifanyia shirika hilo marekebisho kwa kuzifanya taasisi za utalii kuwa na hisa ATCL.

“Kutokana na wingi wa watalii wanaoingia nchini, Tanapa na Ngorongoro wanapata mapato. Turuhusu wawe na hisa ATCL ili shirika hili lijiendeshe kibiashara,” alisema Zitto.

Mbunge wa Kigoma Kaskazini (CCM), Peter Serukamba aliungana na Zitto kumtaka Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango aeleze Reli ya Kati itajengwa kuanzia wapi kwenda wapi wakati atakapokuwa akiwasilisha mpango huo.

Alisema bila kuwa na reli ya uhakika ni ndoto nchi kupata maendeleo inayoyatarajia.

Serukamba alisema kuna taasisi zilizoanzishwa kwa sheria hivyo kuzitaka zianze kupeleka fedha katika mfuko mkuu wa Serikali, italazimika sheria kubadilishwa.

Mbunge huyo alihusisha suala hilo na uvivu wa watendaji wa hazina kutopenda kufikiria vyanzo vipya vya mapato. 
“Mtazifanya halmashauri zishindwe kujiendesha jamani mbona hamfikirii suala hili. Waziri hii kitu si sawa kabisa iondoeni,” alisema.

“Viwango vya kodi mnavyoviweka ni vikubwa sana. Hivi (Mamlaka ya Mapato) TRA haijifunzi kwa nchi kama Mauritius ambayo viwango vyake vya kodi ni vidogo lakini inakusanya fedha nyingi?” alihoji.

Naye mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk Faustine Ndugulile alisisitiza umuhimu wa kuwa na reli.

“Tukitaka kupaisha uchumi, lazima tuwe na Reli ya Kati ya kiwango cha kisasa. Ni lazima serikali mje na mpango wa kueleweka,” alisema akizungumzia reli hiyo ambayo ujenzi wake ulianza mwaka 1905 wakati nchi ikiwa chini ya wakoloni wa Kijerumani.

Mbunge wa viti maalum (CCM), Mwanne Nchemba alisema suala la reli ya kati si la mzaha kwa maelezo kuwa wapigakura wengi wanaitegemea reli hiyo, pia ni njia nzuri ya kusafirisha mizigo, hivyo lazima Serikali ihakikishe inaijenga kwa kiwango cha kisasa.

Kwa upande wake mbunge wa Kasulu Mjini (CCM), Daniel Nsanzugwako alisema sera ya uchumi wa viwanda ya Serikali ya Awamu ya Tano haiwezi kufanikiwa vyema bila nchi kuwa na reli ya uhakika.

“Mizigo lazima ipite katika reli ili kuokoa barabara zetu. Msipokuja na mkakati hatutawaelewa katika bunge hili. Haiwezekani miaka 20 sasa tunazungumzie reli tu,”alisema huku akisisitiza kuwa uwepo wa reli utaongeza kasi ya mapato bandarini.

Mbunge wa Babati Mjini (Chadema), Pauline Gekul naye aliungana na Serukamba kuhoji uamuzi huo wa Serikali kuweka fedha zote za mapato kwenye mfuko wa Serikali, akisema utaua halmashauri.

“Tukumbuke historia ya ugatuaji wa madaraka, kumbukeni jinsi Mwalimu (Julius)Nyerere alivyourudisha baada ya kuona faida zake. Serikali za mitaa zina mamlaka ya kukusanya mapato na kutumia, sasa hayo mamlaka mnayaondoa mnategemea nini,” alisema.

“Mkipitisha suala hili, haya mapato hayatakusanywa ipasavyo na pia mtatengeneza mianya mingine ya ajabu ajabu.Tumekuwa tukiona jinsi ambavyo Serikali inashindwa kutoa fedha za maendeleo, sasa mnapotaka fedha zote zipelekwe katika mfuko mkuu wa Serikali, je zitatoka zote wakati zitakapohitajika?” alihoji.

Gekul alisema kama tatizo ni sheria za halmashauri na taasisi, ni vyema zinakabadilishwa ila si kuziondolea mapato.

Mbunge wa Nsimbo (CCM), Richard Mbogo alizungumzia Shirika la Ndege (ATCL) akitaka lipunguze wafanyakazi wake ili kuweza kujiendesha kibiashara.

Alisema kwa sasa shirika hilo linasuasua kutokana na kutokuwa na mapato ya kutosha.

Picha Mpya za Zari Zilizowaacha Team Wema Midomo Wazi na Kukubali Yaishe

Jana Zari Ameshare Nasi Picha hizi Ambazo Zimezua gumzo mtandaoni kwa wengi kusema amezidi kuwa mcharo utazani binti wa miaka 21 ....Yaani Huwezi Amini kama ni Mama wa watoto wanne mmoja akiwa ni wa Mwimbaji Diamond Platnumz.....

Top 15 Weird Se’x Facts You May Not Know [#8 Is Totally Unbelievable]

11908136_146459169025566_491467658_n
Many facts about se’x have become knowledge, but some still lay hidden in secret, just waiting to be discovered. The following weird se’x facts may have you thinking for quite some time.
#1 Women are more willing to commit adultery during their ovulation than at any other time throughout their cycle—most notably due to their bodies’ desire to fertilize the ovulated egg.

#2. For a woman attempting to reach cli’max, it will take her only four minutes through masturbation. However, it can take upwards of 10-20 minutes to reach cli’max during inter’course.

#3. Most women who lose their virgi’nity between ages fifteen and nineteen actually wish they had waited a bit longer. Additionally, most teenagers lose their virgi’nity by age 17, but those who have not lost their virgi’nity by 24 tend to stay a vir’gin.

#4. Orgas’ms, along with sneezes, cannot be voluntarily stopped once they have started because they are physiological responses to an event.

#5. This is one of the weird se’x facts that most of us have not heard about before. During inter’course, your inner nose swells just as your bre’asts and genitals will. This is most notably due to the increased flow of blood while having inter’course.

#6. Contrary to what men and women are led to believe, the size of a man’s pen’is fully erect is not really that important. Besides, the average length of an erect pen’is is 5.6 inches.

#7. For men, se’x burns between 100 and 200 calories on average. On the other hand, it only burns approximately 69 calories for women.
#8. For those who are wondering if their grandparents and great-grandparents still have sex’ual inter’course, the overwhelming answer is yes. Approximately one third of women in their 80’s continue to have se’x with their husband or boyfriend, so long as they are both in good enough physical health to do so.

#9. Humans are not the only ones interested in performing oral se’x, wolves, bears and bats are also known to participate in the practice quite often.

#1o. While many know that chocolate can be an excellent arousal for having se’x, apparently the smell of pumpkin can help increase the blood flow to the penis to encourage an erec’tion.

#11. At the point of orgas’m, both men and women tend to have a heart rate of approximately 140. This is not excessive, but just enters the common cardiovascular zone.

#12. Only 5% of the population have se’x once a day, while 20% have sex 3-4 times a week. The rest of the population are unknown, but hopefully not too spread out.

#13. Women have the ability to make their voice sound “sex’ier” in order to entice their men when needed. Men, however, do not possess such an ability and simply have to rely on other factors.

#14. As an orgas’m becomes imminent in a woman, the vagi’na decreases in size by as much as 30%. This contraction is most likely to help increase the sensitivity felt by the woman as she cli’maxes into the orgas’m.

#15. In order to know how much testosterone a man has, compare the length of his ring finger to his index finger. The longer the ring finger is in comparison to the index finger, the more testosterone in his body.


PICHA ZA WATU WALIOLIWA NA SIMBA ZINATISHA SANA..KWA WALE WENYE MIOYO MIGUMU TU DIYO WANAWEZA KUANGALIA PICHA HIZI, HILI NI TUKIO LAKUTISHAI

Simba amevamia nyumba ya mkazi mmoja wa Kijiji cha Sitalike wilayani Mlele mkoani Katavi na kuwaua watu wawili.

Taarifa zilizopatika kutoka wilayani humo jana, zilieleza kuwa tukio hilo lilitokea jana alfajiri. Kijiji hicho kiko jirani na Hifadhi ya Taifa ya Katavi.

Mwenyekiti wa Kijiji cha Stalike, Christopher Anjelo aliwataja waliouawa ni John Jeremia (45) na mwanaye wa kiume ambaye jina lake halikufahamika.

Alisema wanafamilia hao walikuwa wamelala ndani na mara Simba huyo jike alisukuma mlango ambao haukuwa imara na kuingia ndani na kuwashambulia.

Alisema mke wa marehemu alifanikiwa kukimbia.

Hata hivyo, alisema baada ya taarifa kusambaa, wanakijiji waliamua kumsaka na kumkuta akiwa amejificha kichakani na pembeni kukiwa na kichwa cha mtoto huyo aliyeuawa.

Alisema simba huyo aliuawa na askari wa wanyamapori wa Hifadhi ya Katavi.







BREAKING NEWS:.JESHI LA POLISI LAPATA PIGO KUBWA MUDA HUU HUKO DODOMA..ADC WA AFANDE IGP INSP.GERNALD RYOBA APOTEZA MAISHA NA FAMILIA YAKE KWENYE AJALI NA KUSOMBWA NA MAJI, MKE NA MTOTO WAMETAKANA ILA ISP. RYOBA BADO, WATANZANI MNAOMBWA MTULIE KWA TUKIO HILI

TANZIA POLISI: Huko Dodoma hali siyo shwari. ADC wa afande IGP Insp. G. RYOBA akiwa safarini na mkewe kuelekea Dar. gari yao ilisombwa na maji na mpaka sasa imepatikana miili ya mkewe na mtoto lakini mwili wa Insp. RYOBA mpaka sasa bado haujapatikana. Timu ya wapelelezi imekwenda eneo la tukio huko Kibaigwa kwa hatua zaidi. Naomba tutulie na kusubiri mamlaka husika hapa mkoani zitakapotoa taarifa hizi.



As Received but confirmed


BREAKING NEWS:.JIPU LA ZITTO ALILILOMPA RAIS MAGUFULI LAMUANGUKIA KIGOGO MZITO NCHINI NA CHA MOTO AKIONA HELA ZOTE ZIRUDISHWE NCHINI HARAKA

 


 [​IMG]
Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top