Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Mbunge wa Karatu, Israel Natse (CHADEMA) ajitoa kuwania Ubunge, Kiasa eti kwasababu...

Mbunge wa Karatu kwa tiketi ya CHADEMA, Mchungaji Israel Natse, amejitoa rasmi katika siasa na kurudia kazi yake ya uchungaji katika Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kaskazini.

Akizungumza na mwandishi wa NIPASHE kwa njia ya simu ya kiganjani jana, alisema kwa mujibu wa makubaliano yake na chama, walimwomba agombee kipindi kimoja tu, kwa hivyo sasa anampisha mwingine.

“Mimi ninarudi kwenye kazi yangu ya uchungaji naachana na siasa, huu ndiyo wito wangu nilioitiwa na mungu wa uchungaji”


Akinukuliwa na gazeti la MWANANCHI alisema, “Jumatano nitawaaga rasmi wananchi wangu, binafsi niliombwa na Dk Slaa kugombea jimbo hili kwa miaka mitano”

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top