Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

MH:. LOWASSA AMFUNIKA Dk.wilbroad Slaa UKAWA AMFANYA AMESAHAULIKA, NA SLAA ANENA HAYA

Hili limejitokeza mara baada ya Lowassa kutangaza kuingia UKAWA kupitia CDM, Kufuatia jambo hili upepo wa Dk.Slaa kupendwa na kuaminiwa na wana CHADEMA unaelekea ukingoni kufuatia ingizo jipya, na huenda asisikike tena katika mbio za uchaguzi mkuu akiwa mgombea wa urais wa chama hicho kufuatia wengi kumsahau kuanzia viongozi na wanachama wa chama hicho na sasa ni historia tu!

Dk. Slaa Kwa takribani miaka 10 ya uongozi wake amekuwa muhimili wa CHADEMA na amekua kipenzi cha Wafuasi wa chama hicho hasa vijana kwa ahadi zake na utumishi wake!

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top