Loading...
http://go.ad2up.com/afu.php?id=778977

Pichaz:..AZAM FC YAPATA MAJEMBE MAPYA NA HAWA HAPA WANAKAMILISHA USAJILI WAO, HEBU WAJUE HAWA....

wanga sign
Klabu ya Azam FC imekamilisha nafasi zake saba za kusajili raia wa kigeni kufuatia sheria iliyowekwa na Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) ambalo linaruhusu kusajili wachezaji wasiozidi saba raia wa kigeni.
Usajili huo unakuwa pigo kwa golikipa Nelson Lukong raia wa Cameroon na Ryan Burge raia wa Uingereza ambao wote walikuja kufanya majaribio na Azam FC.
Azam FC imetangaza kumsajili mshambuliaji wa kimataifa wa Kenya Allan Wangaaliyekuwa anakipiga katika klabu ya Al Merrikh ya Sudan.. Allan Wanga amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Klabu ya Azam FC.
AFC-Allan-Wanga-2-300
Stori za mwanzo ilikuwa Allan Wanga na Nelson Lukong Bongaman golikipa kutokeaCameroon aliyekuwa anakipiga katika klabu ya AS Vita Club ya Congo kushindwa kufikia makubaliano na Azam FC baada ya kugoma kufanya majaribio ili kocha Stewart Hallaangalie viwango vyao kabla ya kuwasajili.
AFC-Allan-Wanga-300
Kufuatia usajili wa Allan Wanga Azam FC imemaliza nafasi zote saba za kuwasaji wachezaji wa kigeni, hadi sasa Azama FC imewasajili Serge Pascal WawaKipre TchetcheKipre Michael Balou kutokea Ivory Coast na Jean Baptiste Mugiranezakutokea APR ya Rwanda, Didier Kavumbagu kutoka Burundi, Brian Majwega kutokeaUganda na Allan Wanga aliyekamilisha idadi ya wachezaji saba wa kigeni.

Post a Comment

CodeNirvana
Newer Posts Older Posts
© Copyright JAMIIYETU | Designed By BAKI NASI
Back To Top