Dunia ina vitu vingi vya kushangaza mtu wangu, kuna watu na vitu vinavyoweka headlines kila siku ipitayo kwa mungu, kimtindo huu ndio mwendo wa dunia siki hizi.
Nimekutana na video inayo onyesha wanayama wakubwa zaidi duniani, na wanyama wenyewe wengi tunawafunga majumbani mwetu.
Je unashawahi kumuona mbwa mrefu zaidi kuliko wote duniani anaekula zaidi ya sahani 12za chakula, Sungura mkubwa zaidi duniani anaekula zaidi ya karoti 360, Mapple 50 kwa siku na kabeji 15 kwa mwezi, na paka mnene zaidi duniani je?!
Vyote hivyo vimesogezwa kwako ndani ya hii video ya dakika 5. Bonyeza Play kuitazama mtu wangu!


Post a Comment